KWA UCHUNGU: Mke wa ROMA Amlipua Mbunge, Kisa 'Zimbabwe'


Закрыть рекламу

Смотреть видео KWA UCHUNGU: Mke wa ROMA Amlipua Mbunge, Kisa 'Zimbabwe' онлайн, скачать на мобильный.

173, 437
1, 521   |   197
Global TV Online   |   1 год.
Share/Поделиться
Descr../Описание

SUBSCRIBE NOW http://www.youtube.com/c/uwazi1

Baada ya kuutambulisha wimbo mpya wa mkali wa michano na mwanaharakati wa kweli Rymes of Magic Attraction R.O.M.A unaokwenda kwa jina la ZIMBABWE, Mama Ivan ambaye ni mke halali wa ROMA amefunguka mengi alipokuwa akifanya interview na Kelvin Shayo kupitia hapa Global TV ambapo moja ya vitu alivyovizungumza ni kuhusu mbunge aliyesema Roma alimtukana mkuu.

Pia amezungumzia mapokezi ya wimbo huo yalivyomshangaza na kuvunja rekodi kwa muda mfupi ikiwa ni pamoja na kuwashukuru watanzania wote walioungana naye na kumfariji wakati wa matatizo.

Kupata video nyingine kama hizi SUBSCRIBE kwenye channel yetu kwa jubofya link ifuatayo http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
http://www.youtube.com/c/uwazi1
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK: https://www.facebook.com/Globalpublis...
TWITTER: https://twitter.com/GlobalHabari
INSTAGRAM: https://www.instagram.com/globalpubli...

Ссылка на страницу с видео:

Ссылка HTML на страницу с видео:

Код для вставки плеера:

KWA UCHUNGU: Mke wa ROMA Amlipua Mbunge, Kisa 'Zimbabwe' - Поисковик музыки mp3real.ru

Комментарии

Закрыть рекламу